Username
Password
You can Register Here ,   OR

Maneno Magumu ya Kiteknolojia

Archived Page

This is a page from the Kamusi archives. The information below may be out of date, and the links may no longer be valid. Please visit kamusi.org for current information. If you know of links or information on this page that can be updated, please let us know.

We are asking for your help on a quick, important project intended to improve access to computer technology in East Africa. The task is simple: look through a list of English terms that are used in information technology, and vote on the Swahili translations or suggest your own.

Twaomba msaada wako kwenye mradi muhimu unaolenga kuboresha matumizi ya teknolojia za tarakilishi katika Afrika ya Mashariki. Shughuli ni rahisi: tazama orodha ya maneno yanayotumiwa kwenye teknolojia ya habari na mawasiliano, na kupigia kura tafsiri zilizoko za Kiswahili au pendekeza neno lako (unalofikiri ni sawa).

We need volunteers with good knowledge of information technology and the Swahili language. To get started, just visit https://sites.google.com/site/manenomagumu

Tunahitaji watu kujitolea ambao wana ujuzi wa teknolojia za mawasiliano na pia lugha ya Kiswahili. Kuanza, tembelea: https://sites.google.com/site/manenomagumu

Several efforts have been made to produce Swahili ICT vocabularies, but three big problems remain. First, many terms have been given poor Swahili equivalents because the original concept was misunderstood. Second, many terms have been given different Swahili equivalents in different translation projects; the same English term might have five different Swahili translations, depending on whether you are using Microsoft, Google, KiLinux, Facebook, or Wikipedia! Third, many terms have not yet been translated, and new terms keep appearing as ICT continues to evolve.

Kumekuwepo juhudi mbalimbali za kuandaa istilahi ya teknolojia kwa Kiswahili, lakini matatizo matatu bado yangalipo. Kwanza, maneno mengi yalitafsiriwa vibaya kwa sababu ya maana asili kutoeleweka. Pili, maneno mengi yalitafsiriwa tofauti katika miradi tofauti tofauti ya utafsiri; inawezekana kuwa neno lile lile la Kiingereza kuwa na tafsiri tano, kutegemea ikiwa unatumia Microsoft, Google, KiLinux, Facebook, au Wikipedia! Tatu, maneno mengi hayajatafsiriwa bado, na maneno mapya yanazidi kuvumbuliwa teknolojia inavyozidi kuwa.

The Kamusi Project is working to harmonize the various "localization" efforts, in order to have unified, consistent Swahili ICT terminology as we head into the next decade. Excitingly, we have the encouragement of both Microsoft and Google, usually big competitors, which are both interested in greatly expanding access to their services for Swahili speakers.

Kamusi Project inafanya kazi ya kuunganisha juhudi hizi za "Uswahilishaji", ili kuwa na orodha moja inayokubalika, ya istilahi ya kiteknolojia kwa Kiswahili, tunapoingia enzi ya tarakilishi katika Afika ya Mashariki. Kinachosisimua ni kwamba tunaungwa mkono na Microsoft na Google, ambao kwa kawaida ni washindani, ambao wanataka kuongeza sana huduma zao kwa wanaozungumza Kiswahili.

We have inspected all of the existing ICT terminology lists that we know of, from which we have produced several "packs" of difficult terms. Now we are seeking community participation to help reach agreement on how to express each term in Swahili going forward. The first five packs are
available at https://sites.google.com/site/manenomagumu

Tumekagua orodha zote zinazopatikana za istilahi ya kiteknolojia, na tumetayarisha mafurushi kadhaa ya maneno magumu. Sasa tunatafuta jamii kuchangia ili kufikia makubaliano ya namna ya kusema kila neno kwa Kiswahili. Mafurushi yapatikana https://sites.google.com/site/manenomagumu

A few more packs will be added later this week, but we want to start the community review project immediately so that we can get rapid feedback if we need to adjust the process. This is an experimental project: as far as we know, this is the first time that any linguistic community has invited to help develop the ICT terms that will be used for their language in the future. If the experiment is successful, we will use the experience as the basis for more formal terminology development in the future, for Swahili and other African languages.

Mafurushi mengine machache yataongezwa mwisho wa wiki hii, lakini tunataka kuanza juhudi hii moja kwa moja ili tupate maoni ya jamii wanaochangia, kama ni lazima kubadilisha jinsi ya kuendelea. Bidii hii kweli ni ya majaribio: tunadhani kwamba ni mara ya kwanza kwamba wasemaji wa lugha yo yote wanakaribishwa kusaidia kwenye maendeleo ya istilahi ya kiteknolojia itakayotumiwa katika lugha yao. Majaribio yakifaulu, tutatumia uzoefu huu kama msingi wa maendeleo rasmi zaidi ya istilahi za kisayansi, kwa Kiswahili na lugha nyingi za Kiafrika.

So, for several reasons, it is very important that we have the participation of as many people as possible who (a) have a good understanding of the concepts involved in information technology, and (b) have good knowledge of the Swahili language.

Kwa hiyo, kwa sababu nyingi, ni muhimu sana tukiwa na watu wengi watakaojitolea ambao (a) wanaelewa vizuri maswala ya kiteknolojia, na (b) wanaelewa vizuri Kiswahili.

Please join us, or tell other people who you think might be interested. The project will end on 7 March, so please contribute this week if you want your voice to be counted in Swahili localization! Again, the website is https://sites.google.com/site/manenomagumu

Twaomba uungane nasi, au ueneze taarifa kwa watu wengine. Juhudi hii itamalizika 7 Machi, kwa hivyo ni muhimu uchangie wiki hii ikiwa unataka sauti yako ipate kusikika katika Uswahilshaji wa teknolojia. Tena, tovuti ni https://sites.google.com/site/manenomagumu

Notice: this project is only for volunteers who are interested in promoting the Swahili language. No payments or prizes are available. This effort is organized by Kamusi Project International (http://kamusi.org) and ANLoc, and is NOT officially affiliated with Microsoft, Google, BAKITA, or KiLinux. All suggestions are highly appreciated, and will be given the most serious consideration in the production of a harmonized Swahili ICT terminology set that will be made freely available online within the next few months.

Tangazo: juhudi hii ni kwa watu wa kujitolea wanaotaka kuendeleza Kiswahili. Hakuna malipo wala tuzo. Bidii hii imepangwa na Kamusi Project International (http://kamusi.org) na ANLoc, na hauna mahusiano rasmi na Microsoft, Google, BAKITA, au KiLinux. Tutashukuri kwa mapendekezo yoyote, na yatafikiriwa sana wakati wa kuandaa istilahi ya kiteknolojia katika Kiswahili. Istalahi itapatikana bila malipo kwa wote baada ya miezi michache.


/content/maneno-magumu-ya-kiteknolojia

Kamusi GOLD

These are the languages for which we have datasets that we are actively working toward putting online. Languages that are Active for you to search are marked with "A" in the list below.

Key

•A = Active language, aligned and searchable
•c = Data 🔢 elicited through the Comparative African Word List
•d = Data from independent sources that Kamusi participants align playing 🐥📊 DUCKS
•e = Data from the 🎮 games you can play on 😂🌎🤖 EmojiWorldBot
•P = Pending language, data in queue for alignment
•w = Data from 🔠🕸 WordNet teams

Software and Systems

We are actively creating new software for you to make use of and contribute to the 🎓 knowledge we are bringing together. Learn about software that is ready for you to download or in development, and the unique data systems we are putting in place for advanced language learning and technology:

Articles and Information

Kamusi has many elements. With these articles, you can read the details that interest you:

Videos and Slideshows

Some of what you need to know about Kamusi can best be understood visually. Our 📽 videos are not professional, but we hope you find them useful:

Partners

Our partners - past, present, and future - include:

Hack Kamusi

Here are some of the work elements on our task list that you can help do or fund:

Theory of Kamusi

Select a link below to learn about the principles that guide the project's unique approach to lexicography and public service.

Contact Us

We welcome your comments and questions, and will try to respond quickly. To get in touch, please visit our contact page. You must use a real email address if you want to get a real reply!

kamusigold.org/info/contact

© Copyright ©

The Kamusi Project dictionaries and the Kamusi Project databases are intellectual property protected by international copyright law, ©2007 through ©2018, under the joint ownership of Kamusi Project International and Kamusi Project USA. Further explanation may be found on our © Copyright page.

This work is licensed under a Creative Commons Attribution-Noncommercial-Share Alike 3.0 Unported License.

Commentary

Discussion items about language, technology, and society, from the Kamusi editor and others. This box is growing. To help develop or fund the project, please contact us!

Our biggest struggle is keeping Kamusi online and keeping it free. We cannot charge money for our services because that would block access to the very people we most want to benefit, the students and speakers of languages around the world that are almost always excluded from information technology. So, we ask, request, beseech, beg you, to please support our work by donating as generously as you can to help build and maintain this unique public resource.

/info/donate

Frequently Asked Questions

Answers to general questions you might have about Kamusi services.

We are building this page around real questions from members of the Kamusi community. Send us a question that you think will help other visitors to the site, and frequently we will place the answer here.

Try it : Ask a "FAQ"!

Press Coverage

Kamusi in the news: Reports by journalists and bloggers about our work in newspapers, television, radio, and online.

Sponsor Search:
Who Do You Know?To keep Kamusi growing as a "free" knowledge resource for the world's languages, we need major contributions from philanthropists and organizations. Do you have any connections with a generous person, corporation, foundation, or family office that might wish to make a long term impact on educational outcomes and economic opportunity for speakers of excluded languages around the world? If you can help us reach out to a potential 💛😇 GOLD Angel, please contact us!